Contributed by Hocy Marc Karibu kwenye mapishi ya leo! Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kupika tambi tamu, laini, na zenye ladha kali kwa muda mfupi. Hii ni recipe rahisi ambayo unaweza kuandaa kwa kifungua kinywa, chakula cha mchana, au hata chakula cha jioni. ✅ Viungo Unavyohitaji: • Tambi (spaghetti) • Karoti • Pilipili hoho (green bell pepper) • Kitunguu • Chumvi • Iliki ya unga • Mafuta ya kupikia 👉 Hatua kwa Hatua: 1. Chemsha tambi hadi ziive vizuri, kisha zichuje. 2. Kaanga mboga kwa muda mfupi hadi ziwe laini. 3. Changanya tambi na viungo vyote, kisha pika kwa dakika chache. 4. Tayari! Furahia tambi zako tamu. Usisahau KUSUBSCRIBE kwa mapishi zaidi! ❤️ 📌 Kama unapenda video hii, bonyeza LIKE na SHARE kwa familia na marafiki! #JinsiYaKupikaTambi #MapishiYaTambi #TambiTamu #SwahiliFood #TanzanianFood #ChakulaTamu View video on YouTube.