Jinsi ya Kupika Chachandu ya Pilau | Rojo Rahisi, Haraka na Tamu Balaa!
Contributed by Hocy Marc
Karibu tena kwenye channel yangu! Leo nimekuletea chachandu au rojo rahisi na tamu sana kwa wali wa pilau, wali wa nazi, au hata ugali. Hii ni mchuzi wa haraka unaopikwa na viambato rahisi lakini matokeo yake ni ladha tamu isiyoelezeka! Viambato vilivyotumika: • Nyanya • Kitunguu • Karoti • Hoho • Maharagwe machanga • Chumvi • Mafuta • Curry powder • Tui la nazi Njia ya kupika ni rahisi sana, na matokeo ni mchuzi laini na mtamu unaofaa kwa chakula chochote cha familia. Usisahau: • Kusubscribe kwa mapishi zaidi • Kulike video hii kama imekusaidia • Kushare na marafiki na familia • Kuacha comment ili nijue unapenda kula chachandu yako na nini! #Chachandu #RojoYaPilau #MapishiRahisi #TanzanianFood #ChachanduTamu #SwahiliRecipes #MchuziMtamu #food #swahilifood #chakulatamu #cooking #detoxdrink #easy #foodie #foodlover #foodwithlove #juice
View video on YouTube.
Comments
Post a Comment