MAKANGE YA FIRIGISI! PIKA FIRIGISI HIVI TAMU BALAA😋


Contributed by Hocy Marc
Karibu sana kwenye channel yangu! Leo nakuletea jinsi ya kupika makange ya firigisi tamu sana kwa kutumia viambato vya ladha na rahisi kupatikana. Hili ni pishi lenye harufu nzuri na linaenda vizuri na wali, chapati, au hata ugali. Viambato vilivyotumika: • Firigisi safi • Nyanya • Kitunguu • Karoti • Hoho ya kijani • Hoho nyekundu • Tui la nazi au cooking cream • Butter • Curry powder • Chumvi • Tangawizi • Kitunguu saumu • Manjano (turmeric) Makange hii ni laini, yenye mafuta kiasi, na ladha ya kipekee kabisa. Usikose kuijaribu nyumbani! Usisahau: • Kusubscribe kwa mapishi zaidi • Kulike video hii kama imekufurahisha • Kushare na wapishi wenzako • Kuacha maoni – unapenda kula firigisi na chakula gani? #MakangeYaFirigisi #MapishiYaNyumbani #FirigisiTamu #SwahiliFood #MapishiRahisi #TanzaniaCuisine #JikoniTime #ChickenGizzardsRecipe


View video on YouTube.

Comments

Popular posts from this blog

Danger lurking– Venge | S1 | E50 | Africa Magic

JINSI YA KUOKA MKATE / SKONZI KWA AIRFRYER {#AIRFRYER BREAD RECIPE}

Christopher the 15th! – Date My Family | Africa Magic