JINSI YA KUPIKA KEKI YA MAFUTA (KUOKA KEKI KWA AIR FRYER) MAPISHI YA #KEKI TAMU
Contributed by Hocy Marc
Kuoka keki kwa airfryer, hatua za kuoka keki, kuoka keki kwa air fryer Mahitaji Yai 1 1cup unga wa ngano 1/4cup maziwa 1/4cup mafuta alizeti 1/3cup sukari 1tsp vanilla 1tsp baking powder 1/8tsp chumvi
View video on YouTube.
Comments
Post a Comment