Contributed by Hocy Marc Jinsi ya kupika pilau bila viungo vingi! Kwenye video hii, utaona hatua kwa hatua jinsi ya kupika pilau tamu, rahisi, na yenye harufu nzuri bila kutumia viungo vya gharama au vigumu kupatikana kama mdalasini, karafuu, au pilipili. Hii ni mapishi bora kwa wale wanaopenda pilau lakini hawana viungo vingi nyumbani. **Viungo vinavyotumika:** - Mchele - Kitunguu - Nyanya - Mafuta - Chumvi - Karoti - Hoho - Iliki **Video hii ni bora kwa:** - Wanaoishi hosteli au vyuoni - Watu wa bajeti ndogo - Wanaoanza kupika - Wanaotaka mapishi rahisi ya pilau **Usisahau:** - KULIKE - KUSHARE - KUSUBSCRIBE kwa mapishi zaidi ya kitamaduni ya Kiswahili! #JinsiYaKupikaPilau #PilauRahisi #MapishiYaKiswahili #PilauBilaViungo #SwahiliFood #PilauRecipe View video on YouTube.